Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu taarifa za mauaji ya watoto katika maeneo mbalimbali mkoani Njombe huku ikidaiwa matukio hayo kuhusishwa na imani za kishirikina, leo February 4, 2019 Bunge lilitenga dakika zake 10 ili kujadili mienendo ya matukio hayo.
KUTANA NA TABIA ZA WANAWAKE WEUSI, MTAA UMEFUNGUKA