Leo May 8, 2019 Nakusogezea PICHA 15 kutoka Kilimanjaro International Airport (KIA) ambapo Viongozi mbalimbali wamejitokeza kuupokea Mwili wa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Mengi.
LIVE: MWILI WA MAREHEMU DK. MENGI UNAPOKELEWA AIRPORT KIA