Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alivyochukizwa na kutokuelewana kati ya Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro, Majura Mateko Kasika na Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Mussa Elius Mnyeti.
Leo September 17, 2019 hii Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wao.