Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefanikiwa kulizuia tukio lililopangwa na Mlinzi wa Benki ambaye alitaka kupora fedha zaidi ya Million 70 zilizotolewa Benki kwa ajili ya mikopo ambapo alikuwa ndani ya gari hiyo akisindikiza fedha hizo baada ya kuwasiliana na majambazi ili waweze kuvamia gari hilo na kupora fedha hizo.
DC Sabaya amesema Mlinzi huyo alizima simu baada ya kuwasiliana na Majambazi hao.
MWANASHERIA “MAKONDA AFUATE UTARATIBU, HAKUNA KOSA LOLOTE, PICHA YA RAIS SI NEMBO YA TAIFA”
MENEJA “ALIKIBA HATAKI KUONEWA, HATAKI KIKI”, “MFALME HAHITAJI KIKI, MASHABIKI MAANDAZI”