Leo August 8,2018 tunayo story kutokea kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo imetoa onya kwa watoa huduma za kimawasiliano kutoruhusu kusambaza jumbe za kulaghai zinazotumwa na wale wazee wa ‘Ile hela tuma kwenye namba hii’.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwanasheria wa TCRA, Joannes Karungura anasema endapo watoa huduma ikionekana namba zao zimetumika kusambaza jumbe za namna hiyo watafikishwa mahakamani.
“Nyie wenye mitandao ama watoa huduma muwe makini ili networks zenu zisitumike kusambaza kusambaza jumbe za kuwalaghai wananchi,”Karungura
Wale Majamaa wa ‘ile hela tuma kwa namba hii’ walivyofikishwa Mahakamani