Leo July 9, 2018 Ayo TV nakusogezea story kuhusu barabara mpya inayojengwa kutoka Sakina hadi Tengeru kutokuwaka taa ambapo Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano Joseph Nyamhanga amesema tatizo hilo lipo na tayari lishaanza kufanyiwa kazi na tayari zaidi ya Milion 230 zimetengwa kwa ajli yakushughulikia tatizo hilo.
Rais JPM aliwaongoza maraisi wengine kutoka Afrika Mashariki katika kuweka jiwe la msingi kwenye Ujenzi wa barabara mpya inayoanzia Sakina hadi Tengeru ambapo ujenzi wake umefikia zaidi 90% huku urefu wa barabara hiyo unatarajia kuwa na urefu wa kilometre 234.3 kuanzi Arusha -Holili /Taveta -Voi Kenya
“Sisi kama Wizara hizo Milion 24 ni makisio tu kwa mwezi tutazitoa ili kuhakikisha hakuwi na giza katika jiji la Arusha” Dr. Nyamhanga Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
LINDI ULGSP: Umeisikia hii Lindi ilikuwa inaitwa PARIS