Leo February 13, 2019 AyoTV na millardayo.com imempata Sheikh Abdurazak Salum Mubarak ambaye ni Mtaalamu wa masuala ya mahusiano ambapo hapa amezungumzia ishu au tabia ya baadhi ya Watu kuwataka kimapenzi wapenzi wa marafiki zao. Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama akiongelea