Kesi ya mauaji ya aliyekuwa Mwanafunzi wa shule ya Msingi Kibeta iliyopo Bukoba Sperius Eradius inayowakabili walimu wawili wa shule hiyo imefikia hatua za mwisho baada ya kukamilisha ushahidi kwa pande zote.
Wakili wa Serikali Mkuu Hashim Ngole ameeleza hatua iliyobakia katika kesi hiyo.
Achana na Njombe Mbeya yameibuka mapya kubaka utajirike (+video)