August 6, 1941 Mtoto mwenye umri wa miaka 6 Elaine Esposito alipelekwa Hospitalini kufanyiwa vipimo juu ya tatizo la tumbo kwa bahati mbaya akazimia, hakuwahi kuzinduka tena hadi anafariki mwaka 1978 ikiwa ni baada miaka 37 na siku 111 akiwa hoi hajitambui.