Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali haitomuacha mkulima yeyote wa zao la korosho katika zoezi la uhakiki ambalo lilipangwa kuisha tarehe February 5, 2019. Majaliwa amezungumza hayo alipokuwa akijibu maswali ya papo kwa papo Bungeni Dodoma leo February 7, 2019.
WAZIRI LUGOLA “KESI YA TUNDU LISSU IMETELEKEZWA, DEREVA WAKE AMEKIMBIA”