Leo January 16, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amezungumza na Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta juu ya shambulizi lililotokea katika Hotel ya DusitD2 Jijini Nairobi na kumtakia pole yeye pamoja Raia wa Kenya.
Taarifa rasmi ya CHADEMA juu ya shambulizi la Kenya, waitaja Tanzania na Kenyatta