Monica Daudi 19 mkazi wa Mtaa wa Nyasa Wilaya ya Nzega Septemba 11 amejifungua watoto watano wakiwa hawajatimiza umri wa kuzaliwa (miezi mitano) katika Hospital ya Wilaya ya Nzega na bahati mbaya watoto wote walifariki kutokana na kutotimiza umri.
MAGUFULI AWAVAA RC MAKONDA NA MKURUGENZI “HUPEWI HELA BILA KAZI”