Hali ya kusikitisha na huzuni imejitokeza katika Wilaya ya Muleba Jimbo la Muleba Kusini ambapo ameibuka mamba na kushambulia watu akiwemo mwanafunzi mwenye miaka 9.
Mbunge wa Jimbo hilo Prof. Anna Tibaijuka ameeleza kilio chake juun ya tukio hilo pia ameweka wazi madhara ambayo wameshayapata.
Wananchi wa Kigoma na Mabango ya kero, Waziri Mkuu ambananisha Mkurugenzi