Mwanaharakati wa Haki za Wanawake na Wasichana Tanzania Rebecca Gyumi amefika Mkoani Kagera kushiriki kilele cha Bonanza la Shirika la Jambo Bukoba linalodhaminiwa na Wajerumani kwa ajili ya kuendeleza vipaji vya watoto kupitia michezo.
Akiongea na AyoTV na millardayo.com Rebecca Gyumi ameeleza tukio ambalo hawezi kulisahau kwa mwaka 2018 huku akieleza mpango aliorudi nao baada ya kupokea Tuzo UN.
NAIBU WAZIRI ADANGANYWA, AAGIZA MHANDISI, MKANDARASI ‘WASUKUMIWE NDANI’