Baada ya kuwepo kwa video inayosambaa ikionyesha mabishano kati ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Daqarro kuhusu suala la mabati katika Kituo cha Afya cha Murieti,
Leo January 7, 2019 Meya wa jiji la Arusha amefunguka nakusema anaomba TAKUKURU wachunguze jambo hilo.
Spika Ndugai kawasha moto “CAG hamjui Bosi wake eeh!, ataletwa akiwa na pingu”