Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Julius Mtatiro, amemtaka mnunuzi wa nyumba na eneo la makazi kata ya Nakayaya Tunduru, kwenda Mahakamani kutafuta haki badala ya kuwaondoa watoto yatima wanne ambao wanaishi kwenye nyumba hiyo.