Ni siku tatu zimepita toka mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga uchezwe Dar es Salaam na kumalizika kwa 1-1 ambapo wengi walianza kukosoa Simba kuwa ni kikosi cha Bilioni 1.3 lakini kimeshindwa kuifunga Yanga ambayo haikuwa na Donald Ngoma, Kamusoko na Tambwe.
Upande wa Simba una lipi la kusema? Haji Manara ameita Waandishi wa habari leo na kuongelea mengine mengi ikiwemo mechi ya juzi ya Yanga na Simba ukimtazama hapa chini utapata kila alichosema.
.