RC wa Tabora Aggrey Mwanri ameanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli aliloagiza Wakuu wa Mikoa kukutana na Wafanyabiasha na kuwasikiliza, akiwa Wilayani Igunga ameagiza kusimamishwa kazi Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wa Wilaya hiyo baada ya kupokea malalamiko na tuhuma za rushwa kutoka kwa Mfanyabiashara.
“Mwananchi ametuambia yupo tayari kutoa ushahidi lakini kwa nafasi ya utawala Meneja wa TRA utawaarifu Makao Makuu na Meneja huyu atupishe” RC Mwanri
.BOSS WA BWANA HARUSI KAFUNGUKA A TO Z ALIVYOFARIKI BI.HARUSI AJALINI, GHARAMA YA HARUSI