Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametengua maamuzi ya Kijiji cha Goweko Wilaya ya Uyui baada ya kubaini hujuma kwa Viongozi iliyopelekea kumpokonya mjane viwanja 10 anavyomiliki.
RC Mwanri ameagiza Mama huyo kurejeshewa viwanja vyake “Nimetengua narudisha viwanja vya mama pale,tusianze kuendesha Halmashauri kibabe lazima tuwasikilize wananchi”.
SHULE YENYE MIAKA 52 KATIKA MUONEKANO WA ZAMANI NA ILIVYO SASA