Leo January 8, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dr. John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ambapo amemteua aliyekuwa Waziri wa Madini, Angellah Kairuki kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji na kumteua aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara hiyo , Doto Biteko kuwa Waziri kamili.