Leo December 18, 2018 Shirika la Afya Duniani (WHO), imeitangaza Tanzania kuwa nchi ya Kwanza Barani Afrika kwa Ubora wa Mfumo wa Udhibiti wa Dawa.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema anatangaza rasmi kwamba Taasisi ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA) imekuwa ya Kwanza kutambuliwa na WHO barani Afrika kwa udhibiti wa ubora wa dawa.
DC MURO “WAKINA MAMA WALIO KARIBU NA VIONGOZI WANAFAIDI FEDHA ZA SERIKALI”