Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora wamezindua kampeni ya kudhibiti uharifu unaoendelea kukithiri katika baadhi ya maeneo ya Mkoa huo.
Akiwa katika Kata ya Mabama Wilaya ya Uyui ameendesha zoezi la kura za siri “Tutapiga kura za siri na tunataka mtutajie watu wote wanaotusumbua hapa mtu akitajwa na watu 40 swali letu ulikaakaaje” RC Mwanri.
FULL HD VIDEO: HARMONIZE ALIVYOMCHEZESHA MAGUFULI KWANGWARU, JAMAA ALIELETA FUJO