Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa wiki mbili kwa Hospital ya Rufaa ya Nkinga kulipa deni la awali la Milioni 23 ya fedha za Wanachama linalodaiwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii PSSSF tangu mwezi February ambapo Hospital hiyo inadaiwa kiasi cha Milioni 78.
“Huyu Bwana nikimwambia mbona hulipi anasema hawajanilipa wahusika mojawapo akiwa Nkinga Hospital hawa watu wana Watoto, tunatoa wiki mbili kama mnadai NHIF nitakwenda kuwasaidia” RC Mwanri
ANG’ATWA APATA KIDONDA CHA AJABU HAKIPONI MWAKA WA 13, USIKU JAMAA ADAI ANABADILIKA KUWA MNYAMA