Leo January 15, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amepokea taarifa ya uchunguzi kutoka katika timu aliyoiteua kuchunguza mapungufu yaliyojitokeza katika ujenzi wa tenki la maji la Lita 300,000 lililopo katika mradi wa maji ya Ziwa Victoria Kata ya Ibelamilundi Wilaya ya Uyui
“Mimi kushtuka huku hakuishii kwenye mradi huu wewe kafanye random sampling sitataja mradi kwa maana Mkandarasi ananisikia check check check check huko bila mpangilio halafu uniletee taarifa napata shida moyoni” RC Mwanri