Mbunge wa Simanjiro (CCM) James Milya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti wametofautiana baada ya Mbunge huyo kumtuhumu Mkuu wa Mkoa kupendelea baaadhi ya Kampuni za Uchimbaji wa Madini, RC Mnyeti akitoa ufafanuzi amedai Mbunge huyo amekuwa akiwatishia kwa bastola wafanyabiashara kwa lengo la kupata fedha.