Mkoa wa Katavi ni moja ya Mikoa mipya ambayo ilitangazwa mwaka 2012, huu Mkoa una Wilaya mbili, Wilaya ya Mlele na Mpanda, na ndio Mkoa ambao anatoka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungan0 wa Tanzania, Mzee Mizengo Kayanza Pinda.

Reporter wa millardayo.com kafika Mpanda na kukusogezea hizi pichaz ujionee jinsi Mji unavyoonekana.
Moja ya vitu vinavyovutia zaidi ni mpangilio wa Mji, Barabara zinazopitika… hali nzuri ya hewa.

Hizi hapa pichaz nyingine eneo la Airport ya Mpanda.


Ziko pia pichaz maeneo mengine ya Mpanda yanavyoonekana kwa juu.



Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE