Leo August 27, 2018 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameagiza makontena 20 ya samani yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda yapigwe mnada.
Waziri Mpango ameongeza kuwa hajali vitisho vya mwanasiasa huyo na kuapa kusimamia sheria na kanuni za kodi.
Ametoa agizo hilo leo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alipofanya ziara ya kushtukiza na kukagua makontena hayo katika Bandari Kavu.
Dangote hakutakiwa kuwa na malori 600 Tanzania