AyoTV inakukutanisha na Dorah Kyamba (39) Mwanadada anaefanyabiashara ya Tax Mtandaoni (UBER) miaka miwili nyuma aliacha kazi ya laki 9 kwa mwezi na kuingia kwenye kazi ya Udereva Tax wa Uber hapa Dar es salaam.
Dorah amefanikiwa kumiliki Tax mbili (UBER) moja akiendesha mwenyewe na nyingine amemwajiri ndugu yake leo hii anao uwezo wakuingiza milioni 1.6 kwa mwezi, kuyafahamu mengi ya Mwanadada huyu Dorah Kyamba amepita Studio za AyoTV hapa Palm Village Mikocheni Dar es salaam.
TRENI YA UMEME: MAJARIBIO MWEZI WA NNE, WAZIRI MBARAWA ATOA KAULI “ITAANZA KUTEMBEA”