Rais John Pombe magufuli december mwaka 2015 alibadilisha matumizi ya fedha ambayo yangetumika kuadhimisha siku ya uhuru na kuamua zijenge barabara kutoka moroco mpaka mwenge. Barabara imekamilika kwa asilimia 95 na itakabidhiwa serikalini mwezi june mwaka huu.
Site Injinia wa mradi huo, Hamis Jumanne Maulidi amesema ………>>>’mpaka sasa hivi tumeshakamilisha Barabara kilometa zote 4.3 kilichobaki tu ni mitaro na hizo access road’
ULIKOSA BARABARA INAYOJENGWA KWA ZILE BILIONI 4 ZA SHEREHE YA UHURU ILIPOKUWA IMEFIKIA MPAKA APRIL 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE