Shahidi wa tisa wa Jamhuri kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake, Francis Mroso ametoa ushahidi wake leo Mahakamani Arusha na kueleza jinsi Sabaya alivyomlazimisha kutoa shilingi million 90 akimtuhumu kwa kukwepa kodi, video hii ina taarifa kamili.