June 27 2016 bunge la 11 litany mapitio ya marekebisho ya muswada wa sheria ya mtoto ambayo imeelekeza kuwa mtu atakayempa mimba mtoto ambaye kisheria anafahamika ni yule mwenye umri wa chini ya miaka 18 basi atahukumiwa kifungo cha jela miaka 30.
‘Sheria ya kanuni za adhabu inawagusa hata ambao hawapo shuleni ambao wapo chini ya miaka 18, ukifanya tendo la kujamiiana na mtoto wa chini ya miaka 18 hata kama mlikubaliana utahesabia umebaka‘ –George Masaju
Unaweza kuendelea kumsikiliza kwenye hii video hapa chini….
ULIIKOSA HII YA HUSSEIN BASHE KUSEMA ‘NI HALALI WANANCHI KULIPA USHURU WAKATI HAWAPATI HUDUMA?’
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE