Watson Mahomange ambaye ni mshtakiwa 3 katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amesema haihitaji wakili yeyote ikiwemo Wakili wake Fridelon gwemelo kumtetea na kwamba atajitetea mwenyewe.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa kamili unaweza ukabonyeza plaly kufahamu zaidi
MSHTAKIWA MWENZAKE NA SABAYA AELEZA JINSI VURUGU ZILIVYOTOKEA MAGEREZA BAADA YA MAOFISA KUINGIA