Aliyekua Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye anaongea na wananchi wa Jimbo hilo kwenye mkutano unaofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Kiwalala.
Mbunge wa jimbo la Mtama leo April 08 kwa mara ya kwanza anaongea na wananchi wa jimbo lake la Mtama toka alipotoka kwenye nafasi ya Uwaziri.
LIVE: Nape Nnauye anazungumza na wananchi jimboni kwake https://t.co/3ixEceHlTn
— millardayo (@millardayo) April 8, 2017