Mtembea kwa miguu aliyegongwa na Basi la Abiria la “Mwendokasi” wiki iliyopita ambaye ndiye alikuwa Majeruhi pekee wa ajali hiyo aliyesalia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), ameondolewa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) na kuhamishiwa wodi nyingine ya HDU baada ya afya yake kuzidi kuimarika.
Meneja Uhusiano wa MOI, Patrick Mvungi amesema pamoja na mambo mengine Majeruhi huyo ameanza kuongea na amejitaja kwa jina moja kwamba anaitwa Osam na
Ayo TV na millardayo.com zinaendelea kumfuatilia kwa ukaribu na zitakuwa zikikujulisha hatua kwa hatua kumuhusu Majeruhi huyu ambaye wengi wamekuwa wakitaka kufahamu maendeleo yake.