Mtoto mwenyewe anaitwa Ibrahim, ame-trend sana kwenye mitandao akionekana anahubiri baada ya kufungua madhabahu yake, unaambiwa ameshawaponya Watu zaidi ya 15… kwenye upande mwingine pia anasema kuna mtu alikuja akabomoa eneo analotumia kuhubiria, amekatwa mguuni na bati, bonyeza play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho
FULL INTERVIEW: MTOTO GUMZO ANTHONY PETRO KAONGEA TUSIYOYAJUA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
VIDEO: ATAKACHOKIFANYA MTOTO ANTHONY AKIPATA MSHAHARA WAKE WA KWANZA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA