Mtotor Malick Hasheem ambaye alikatwa shingoni na kitu chenye ncha kalina Dada wa kazi (house girl) ameruhusiwa kutoka katika Hospital ya Taifa MUHIMBILI
Mama Mzazi wa Malick amezungumzia ilivyokuwa wakati wa tukio la kukatwa koromea na mpaka sasa anaruhusiwa.
Nae Mkurugenzi wa huduma za upasuaji MUHIMBILI amesema Rais Samia ndiye amegharamaia huduma zote za matibabu za Mtoto Malick na sasa ameruhusiwa ili akaendelee na Shule.