Mtoto Baraka Onyango ambaye ali-trend baada ya kuibuliwa na AyoTV akiwa na uwezo wakutaja majina ya Viongozi pamoja na masuala mbalimbali na Mama yake kusema hana uwezo wa kumsomesha.
Hatimaye amepata mfadhili ambaye atamsomesha kuanzia Darasa la kwanza hadi darasala saba Mfadhili huyo ni Filemon Mollel ambapo amesema atawaomba pia marafiki zake kuchangia katika akaunti ya mtoto huyo itakayofunguliwa kwa ajili ya kumuwezesha kusoma zaidi.
MCHEZO MCHAFU NIDA, MASAUNI APIGA MARUFUKU MAWAKILI