Zoezi la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao limeanza hii leo
Habari kutoka Zanzibar zinaeleza kuwa tayari Balozi Ali Abeid Karume amekuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM