Ni Julai 28 ,2023 ambapo Mtoto wa Mwigizaji Star Wolper aitwae Paris amepewa ubalozi wa Duka la Nguo za watoto llitwalo Rosly Kids lililopo Sinza Kumekucha Dar es Salaam na akiwakilishwa na Mama yake mzazi wakati wa utambulisho wa ubalozi huo uliofanyika Sinza siku ya leo hii.
Unaweza ukabonyeza play kufahamu yale aliyozungumza Wolper baadaya mtoto wake kupewa Ubalozi huo