Linapokuja swala la kupima UKIMWI ni wengi huwa inakua utata, wengine hupima na kuacha kuchukua majibu kwasababu ya uoga, sasa hii ya kupima UKIMWI kwa mate ikoje?
Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile amesema “Moja ya mkakati tunaoutafakari kama Serikali ni kuja na mkakati wa sasa Mwananchi aweze kujipima yeye mwenyewe kwa kutumia mate“
Mtazame zaidi Dr. Ndugulile akiongea hapa chini
VIDEO: RAIS MAGUFULI ASEMA “SIENDI ULAYA, WATAKWENDA HAWA” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
VIDEO: NANDY KAZUNGUMZIA ALIEVUJISHA VIDEO YAKE NA BILLNASS, AJISALIMISHA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA