Nambiwa kuwa kuna baadhi ya maduka kwa sasa wamefungua na wanaendelea na kutoa huduma zao kama kawaida na hii ni baada ya ujumbe mfupi wa maandishi ‘Sms’ iliyokuwa ikisambazwa na watu tofauti kuwataka wafanyabiashara kutofungua maduka leo sababu kubwa ni kama kuwaenzi waliop[oteza maisha mwaka jana kwenye vurugu za gesi.