June 14 2016 bunge limeendelea kuijadili bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017, nakukutanisha na mbunge wa viti maalum Tabora Munde Tambwe aliyesimama bungeni kutoa vipaumbele vyake katika serikali ya Rais Magufuli ikiwa ni pamoja na kuomba kupunguzwa kwa riba za mikopo.
ULIIKOSA HII? ‘PANDISHENI BEI YA PETROL MTUPUNGUZIE SUKARI’-MBUNGE MAJI MAREFU
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE