“Kenyatta alinipigia simu na kuniambia nakuona ndugu yangu upo Chato, nataka nije nikusalimu na kumsalimu Mama yako, nikasema huyu Kenyatta ananifuatilia nyendo zangu, nikajua kuwa hii ni njia ya kuja kuniomba msamaha baada ya kutufunga 3-2” Rais Magufuli akizungumza Chato na Rais Kenyatta