Mgodi wa dhahabu wa Geita ‘GGM’ June 28 umetoa vifaa vya msaada katika hospitali ya Muhimbili vyenye thamani ya shilingi milioni 23 ili kusaidia jitihada za serikali katika kuboresha huduma za afya katika kitengo cha watoto Muhimbili.
Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na Bp Mashine 10, Infusion Pump 2, Thermometers 110, Standing weghing scale 6, lying down weghing scale 6, nebulises 3 na pulse oxymeter. GGM imechangia ili watoto na kina mama wanaofika hospitalini hapo kupata huduma hizo muhimu.
Unaweza kuangalia video hii hapa chini
ULIKOSA HII YA CHANZO CHA UGONJWA USIOFAHAMIKA DODOMA KUJULIKANA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE