May 21, 2021 Kwenye Uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 3, Air Tanzania wakiongozwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Dk. Leonard Chamuriho pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa ATCL Mhandisi Matindi wamezindua ukumbi wa kupumzikia abiria unaoitwa Twiga Business Lounge iliyopo Terminal 3 ambayo ina uwezo wa kuhudumia watu 200 kwa wakati mmoja.