Kufatia malalamiko ya Wachimbaji wadogo wa mgodi wa Bulumbaka uliyopo Kijiji cha Bulumbaka Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu wamelalamika Muwekezaji kupewa leseni bila ya makubaliano na wenye maeneo pamoja na Mwenyekiti wa Kijiji kutokuwa na taarifa nae juu ya leseni ya uchimbaji, tumempata Muwekezaji huyo anaefahamika kwa jina la Hussen Mabuki kutupa ufafanuzi juu ya tuhuma za Wachimbaji dhidi yake.