Baada ya Kitalu C cha uchimaji wa madini ya Tanzanite kupata muwekezaji mzawa kutoka kampuni ya Franone huku Serikali imimiliki asilimia 16 za huo mgodi ambao ulitakiwa uanze Uzalishaji Miezi 18 hatimaye ndani ya Miezi Sita tu ameanza Uzalishaji nakuajiri Watu zaidi ya watu 300.
Waziri wa madini Dotto biteko amepongeza jinsi mwekezaji huo Omesmo mbise alivyowasaidia akina mama haya kwa kuwapatia mchanga ambao unaowawezesha kupata riziki.