Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kigoma kupitia kwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kigoma Francis Mtui wamefanya ukaguzi wa mabasi eneo la Stendi Kuu ya Mkoa huo na kugudua uwepo wa mabasi yanayofanya safari bila kukidhi vigezo vya ubora unaotakiwa kwa safari huku magari mawili aina ya Saratoga kwenda Mwanza na Adventure kwenda Mpanda zikishusha abiria nakuripoti Polisi.
TABU WANAYOKUTANA NAYO WANAOENDA MIKOANI KATIKA STENDI UBUNGO