Moja ya ajali kubwa zilizowahi kutokea TZ ilikuwa ni hii ya Meli yha MV Bukoba ambayo ilitokea MAY 21 1996 katika Ziwa Victoria Mwanza.. kila ikifika MAY 21 waliopoteza ndugu jamaa na marafiki zao huwa wanafanya Kumbukumbu ya ibada maalum na kutembelea makaburi yaliyoko Mwanza ambako walizikwa watu waliofariki kwenye ajali hiyo.
Mwanamitindo Flaviana Matata alimpoteza mama yake mzazi kwenye ajali hiyo, jana aliungana na watu wengine wengi ikiwemo mastaa mbalimbali kwenye ibada ya kumbukumbu iliyofanyika Mwanza, hapa nina picha zote.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.