Kuna hii ya kuifahamu leo September 9, 2020 Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kihenya iliyopo Wilayani Kasulu, Fredrick Richald amevamiwa na kuuawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi.
Mwalimu huyo alikuwa amekaa na familia yake nyumbani alipovamiwa, na baada ya kufanya tukio hilo watu hao walitokomea bila kuchukua chochote.
Polisi wamefanya uchunguzi na kumkamata mtu mmoja anayedaiwa kuhusika na tukio hilo huku wengine wakiendelea kutafutwa.
‘KIPUA’ STAA ANAEHESHIMIKA KWAO, AMEFANYA TAMASHA IKULU, MREMBO ANAEMMILIKI, ANAJAZA UMATI